Fofota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nafasi ya fofota ndani ya jino

Fofota (ing. pulp) ni sehemu ya ndani ya jino. Inafanywa na tishu laini na seli hai hasa neva na mishipa ya damu. Inaenea katika uwazi uliopo katika dentini ya jino. Kama enameli ya jino na dentini ina kitundu basi fofota inaathiriwa moja kwa moja na baridi, joto na bakteria ya kinywani na kuleta maumivu makali.