Flávio Bolsonaro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Flávio Bolsonaro

Flávio Nantes Bolsonaro (alizaliwa 30 Aprili 1981)[1] ni mwanasiasa mwanasheria na mjasiriamali wa Brazil, ambaye ni mzaliwa wa kwanza wa aliyekuwa Rais wa nchi, Jair Bolsonaro. [2]

Kaka zake ni Carlos Bolsonaro mwanachama wa Rio de janeiro City Council tangu 2001, na Eduardo Bolsonaro mwanachama wa Chamber of Deputies tangu 2015. Katika uchaguzi wa mwaka 2016 Flavio Bolsonaro aligombea umeya wa Rio de Janeiro chini ya Social Christian Party (PSC).[3][4]

Mnamo 2018, Bolsonaro alichaguliwa kuwa Seneti ya Shirikisho inayowakilisha jimbo la Rio de Janeiro, akipata kura milioni 4.38 sawa na asilimia 31.36.[5][6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Com patrimônio familiar sob suspeita, Bolsonaro será diplomado hoje | Exame". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 May 2020. Iliwekwa mnamo 21 January 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Bolsonaro abre 11 pontos de vantagem em relação a Haddad, diz pesquisa – Política – Estadão", Estadão. (pt-BR) 
  3. "Deputado EDUARDO BOLSONARO — Portal da Câmara dos Deputados". www.camara.leg.br (kwa pt-br). Iliwekwa mnamo 3 October 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. Sabóia, Gabriel (12 November 2019). "Flávio Bolsonaro anuncia desfiliação do PSL" (kwa Kireno). Uol. Iliwekwa mnamo 12 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Deputado EDUARDO BOLSONARO — Portal da Câmara dos Deputados". www.camara.leg.br (kwa pt-br). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-05. Iliwekwa mnamo 15 October 2018.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  6. Rio, Do G1 (2016-07-23). "Flávio Bolsonaro é confirmado como candidato do PSC a prefeito do Rio". Rio de Janeiro (kwa pt-br). Iliwekwa mnamo 2022-06-30. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Flávio Bolsonaro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.