Fernando Beltrán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fernando Beltrán Cruz (alizaliwa 8 Mei 1998) ni mchezaji mashuhuri wa mpira wa miguu kutokea nchini Mexico, ambaye anacheza nafasi ya kiungo wa kati katika ligi ya Liga MX akiwa klabu ya Guadalajara.

Maisha ya kazi[hariri | hariri chanzo]

Mwazo Beltrán alijiunga na akademi ya vijana Atlante youth academy 2012 kwa wenye umri wa chini ya miaka 15 na ligi daraja la tatu kisha kujiunga na Santos Laguna's Escuela de Alto Rendimiento 2014.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "El aporte de la cantera rojiblanca en la Pretemporada". www.chivasdecorazon.com.mx. Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fernando Beltrán kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.