Farah Khan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Farah Khan
4ps-008-farah-khans.JPG
Farah Khan at the 4PS Advertising & Marketing Award
Amezaliwa Farah Khan
9 Januari 1965 (1965-01-09) (umri 47)
India
Kazi yake Mwanakoreografia, Mwongozaji wa filamu, Mtangazaji wa TV
Ndoa Shirish Kunder (2004-hadi sasa)

Farah Khan Kunder (amezaliwa tar. 9 Januari, 1965)[1] ni wmongozaji wa filamu na mwanakoregrafia kutoka nchini India. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za kikoregrafia katika filamu kadha wa kadha za Bollywood. Khan amefanya kazi za koregrafia kwenye zaidi ya nyimbo mia moja katika filamu za Kihindi zaidi ya 80. Khan tangu hapo ameanza kutambulika kama mwongozaji wa filamu za Kihindi vilevile. Kwa namna nyingine, Khan amefanyakazi hata miradi ya kimataifa ikiwa ni pamoja na Marigold: An Adventure in India, Monsoon Wedding na filamu ya Kihindi ya Perhaps Love.

[hariri] Tazama pia

[hariri] Marejeo

  1. Thomas, Anjali. "Farah Khan latest chant is 'Mom Shanti MOM'", DNA, 7 October 2007. Retrieved on 17 November 2008. 

[hariri] Viungo vya Nje

People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farah Khan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine