Fanen Akyam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fanen Joseph Akyam (alizaliwa 14 Aprili 2000) ni mwanasoka wa Nigeria anayechezea klabu ya Belshina Bobruisk.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 21 Februari 2020 Fanen alijiunga na klabu ya Ligi Kuu ya Urusi FC Tambov.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fanen Akyam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.