Emma Snerle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emma Snerle (alizaliwa 23 Machi 2001)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Udeni ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Udeni.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. UEFA.com. "Denmark | History | UEFA Women's EURO". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. DBU. "Landsholdsdatabasen". DBU (kwa Kidenmaki). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emma Snerle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.