Emily Fox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fox akiwa na North Carolina Courage mnamo 2023

Emily Ann Fox (alizaliwa Julai 5, 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Marekani ambaye anacheza kama beki wa kulia wa klabu ya Arsenal ya Ligi Kuu ya Wanawake(WSL) na timu ya taifa ya Marekani. Alicheza soka chuo kikuu cha North Carolina Tar Heels. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA U-20 Women's World Cup France 2018 – List of Players: USA U20 (women)". FIFA. July 26, 2018. uk. 16. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo July 26, 2018. Iliwekwa mnamo November 18, 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Emily Fox". ussoccer.com. United States Soccer Federation. Iliwekwa mnamo November 8, 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emily Fox kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.