Elluz Peraza
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Elluz Peraza (amezaliwa tar. 26 Januari 1958) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Venezuela. Huenda akawa anafahamika zaidi kama Emperatriz Azcarraga kutoka katika tamthilia ya La Revancha, vilevile Teresa kutoka tamthilia ya Secreto de Amor.
Tamthilia alizoshiriki [hariri]
- Quiero Contigo - 2007, Mexico-USA
- Tierra de Pasiones - 2006, Colombia-USA
- Anita: No Te Rajes! - 2004, Colombia-USA
- Rebeca - 2003, USA-Venezuela
- Lejana Como el Viento - 2002, Venezuela
- Secreto de Amor - 2001, Venezuela-USA
- La Revancha - 2000, USA-Venezuela
- Carita Pintada - 1999, Venezuela
- Quirpa de Tres Mujeres - 1996, Venezuela
- El Perdon de los Pecados - 1996, Venezuela
- Peligrosa - 1994, Venezuela
- Mundo de Fieras - 1991, Venezuela
- Pasionaria - 1990, Venezuela
Viungo vya nje [hariri]
Elluz Peraza Katika Serials.RU
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elluz Peraza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |