Elias Canetti
Mandhari
Elias Canetti (25 Julai 1905 – 14 Agosti 1994) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Bulgaria. Baadaye aliishi nchini Uingereza.
Aliandika riwaya na pia tamthiliya; maandishi yake yote yalikuwa katika lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 1981 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Tuzo na Heshima
[hariri | hariri chanzo]- Prix International (France, 1949)
- Grand Austrian State Prize|Grand Austrian State Prize for Literature (1967)
- Literature Award of the Bavarian Academy of the Fine Arts (1969)
- Austrian Decoration for Science and Art (1972)[1]
- Georg Büchner Prize(German Academy for Language and Literature, 1972)
- German recording prize, for reading "Ohrenzeuge" (Deutscher Schallplattenpreis) (1975)
- Nelly Sachs Prize (1975)
- Gottfried-Keller-Preis (1977)
- Pour le Mérite (1979)
- Johann-Peter-Hebel-Preis (Baden-Württemberg, 1980)
- Nobel Prize in Literature (1981)
- Franz Kafka Prize[2] (1981)
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]{{{reflist}}}
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Elias Canetti @ Perlentaucher
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elias Canetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elias Canetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Reply to a parliamentary question" (PDF) (kwa German). uk. 348. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Hanser Verlag author page". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-12. Iliwekwa mnamo 12 Novemba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)