Dwayne Johnson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dwayne Johnson

thumb
Amezaliwa 2 Mei 1972
Kazi yake mwigizaji wa Marekani

Dwayne Douglas Johnson (pia anajulikana kwa jina la The Rock[1]; alizaliwa 2 Mei 1972) ni mwigizaji wa Marekani, mtayarishaji wa vipindi, na mwanamiereka wa kulipwa aliyestaafu. Anachukuliwa kama mmoja wa wanamiereka wa kitaalamu zaidi wa nyakati zote[2][3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Dwayne "The Rock" Johnson". WWE (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-13. 
  2. "The Greatest Professional Wrestlers of All Time - UGO.com". web.archive.org. 2013-11-04. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-04. Iliwekwa mnamo 2023-05-13. 
  3. "The Top 100 Pro Wrestlers of All Time Reviewed In Wrestling Perspective". wrestlingperspective.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-13. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dwayne Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.