Diego Velazquez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Velasquez alivyojichora mwenyewe mnamo 1630
Velasquez alivyojichora mwenyewe mnamo 1630

Diego Velázquez (Juni 1599 - 6 Agosti 1660) alikuwa mchoraji mashuhuri wa Hispania wakati wa karne ya 17.

Alikuwa mchoraji aliyependwa na mfalme Filipo IV wa Hispania akachora watu wengi wa familia ya mfalme na waungwana waliokaa kwenye jumba la kifalme. Mweyewe alioa akazaa mabinti wawili.

Alisafiri pia hadi Italia alikopokea athira mbalimbali kwa kazi yake.

[hariri] Mifano ya taswira zake


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Diego Velazquez" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Diego Velazquez kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi