Diederik Opperman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Diederik (Dirk) Johannes Opperman (29 Septemba 1914 - 22 Septemba 1985) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika mashairi kwa Kiafrikaans.

Wasifu[1][hariri | hariri chanzo]

Opperman alizaliwa tarehe 29 Septemba 1914 katika wilaya ya Dundee, nchini Afrika Kusini. Alisomea Chuo Kikuu cha Cape Town hadi shahada ya tatu. Alimwoa mwandishi Marié van Reenan wakawa na watoto watatu. Kuanzia 1960 hadi 1979 Opperman alikuwa profesa wa fasihi ya Kiafrikaans katika Chuo Kikuu cha Stellenbosch.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Negester oor Ninevé (1945)
  • Heilige beeste (1945; mashairi)
  • Joernaal van Jorik (1949)
  • Engel uit die klip (1950)
  • Digters van Dertig (1953)
  • Periandros van Korinthe (1954)
  • Blom en baaierd (1956; mashairi)
  • Wiggelstok (1959)
  • Astrak (1960)
  • Dolosse (1963)
  • Kuns-mis Kor reis na Carrara (1964)
  • Voëlvry (1968; tamthiliya)
  • Edms Bpk (1970; mashairi)
  • Komas uit 'n bamboesstok (1979; mashairi)
  • Groot verseboek (2000)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN: 1-86914-028-1
  1. "Opperman, D(iederik) J(ohannes) 1914-1985. Contemporary authors. 2004. Imeangaliwa tarehe 28 Desemba 2012 kupitia HighBeam Research[dead link] (lazima kusajiliwa).
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diederik Opperman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.