Dhekra Gomri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dhekra Gomri ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya AS Banque de l'Habitat pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dhekra Gomri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.