Cynthia Tse Kimberlin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cynthia Tse Kimberlin (jina la Kichina: 謝美玲; pinyin: Xiè Měilíng; Cantonese: Tse6 Mei5ling4; mzaliwa wa huko Ganado, Arizona, Marekani) ni mtaalamu wa muziki wa kikabila kutoka Marekani. Yeye ni mkurugenzi mtendaji na mchapishaji wa Taasisi ya Utafiti wa Muziki na MRI Press, iliyoko Point Richmond, California. Eneo lake kuu la utaalam ni muziki wa Afrika, haswa Ethiopia na Eritrea.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]