Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Meru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu Cha sayansi na teknolojia Cha Meru


Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Meru ni chuo kikuu cha umma huko Eneo bunge la Tigania Magharibi, Kaunti ya Meru, Kenya.[1] Kinapatikana katika kilomita kumi na tano kaskazini mashariki mwa Meru Town, kando ya barabara kuu ya Meru-Makutano-Maua.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Meru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.