Christina Aguilera
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Christina Aguilera | |
|---|---|
| Maelezo ya awali | |
| Jina la kuzaliwa | Christina Maria Aguilera |
| Amezaliwa | 18 Desemba 1980 |
| Asili yake | New York, Marekani |
| Ala | Sauti, synthesizer dansi, electronic |
| Aina ya sauti | Contralto |
| Miaka ya kazi | 1999–hadi leo |
| Studio | RCA Records (1999-hadi leo) |
| Tovuti | www.christinaaguilera.com |
Christina Maria Aguilera (amezaliwa tar. 18 Desemba 1980) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Christina Aguilera.
Muziki [hariri]
Albamu' [hariri]
- 1999: Christina Aguilera
- 2002: Stripped
- 2006: Back To Basics
- 2010: Bionic
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christina Aguilera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |