Chigozie Agbim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chigozie Agbim (alizaliwa 28 Novemba 1984) ni golikipa wa Nigeria anayechezea klabu ya Delta Force F.C. katika Ligi Kuu ya Nigeria.

Ushiriki kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Agbim alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa akiwa na timu ya taifa ya Nigeria katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Angola mnamo Januari 2012.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chigozie Agbim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.