Chanjo ya kipindupindu
Chanjo ya kipindupindu ni chanjo madhubuti katika kuzuia kipindupindu.[1] Zinatenda vizuri 85% muda wa miezi sita wa kwanza na 50-60% muda wa mwaka wa kwanza. [1][2][3]
Uponaji wake unapungua hadi kasoro 50% baada ya muda wa miaka miwili. Endapo asilimia kubwa ya idadi ya watu wa nchi moja imepata kinga madhubuti maslahi kutoka kwa kinga kuwepo kwa walio wengi, pengine yanatokea miongoni mwa wale wasio na kinga madhubuti. Shirika la Afya Duniani linapendekeza matumizi yao pamoja na mkusanyo wa namna za tiba nyingine kwa wale wenye hatari kubwa ya kuambukizwa. Dozi mbili au tatu ya aina ya kumezwa kwa kawaida zinapendekezwa. [1] Aina ya kudungwa sindano inapatikana maeneo mengine ya dunia bali upatikanaji wake si sawa na ile ya kumezwa. [2][1]
Usalama
[hariri | hariri chanzo]Aina zote mbili za chanjo za kumezwa hazina hatari, ni salama.[1] Maumivu yasiyo makali ya fumbatio au kuharisha huenda yatatokea. Ni salama kwa akina mama waja wazito pamoa na wenye upungufu wa kingamwili.
Zimesajiliwa kutumika katika nchi zaidi ya 60. Zinatumika katika nchi ambako maradhi hutokea kwa wingi na bei ni nafuu. [1]
Jamii na utamaduni
[hariri | hariri chanzo]Chanjo za kwanza zilizotumiwa dhidi ya kipindupindu ziliundwa katika enzi za mwisho za 1880. Zilikuwa za kwanza kutumiwa katika maeneo mengi ya dunia ambazo zilitengenezwa katika maabara. [4]
Chanjo za kumezwa zilitumiwa kwa mara ya kwanza katika enzi za 1990.[1] Ipo kwenye Orodha ya Dawa Muhimu ya Shirika la Afya Duniani, dawa muhimu sana katika mfumo wa afya.[5]
Bei ya kinga dhidi ya kipindupindu iko kati ya dola za Marekani 0.1 na 4.0[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Cholera vaccines: WHO position paper" (PDF). Weekly epidemiological record. 13 (85): 117–128. Machi 26, 2010. PMID 20349546.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 Graves PM, Deeks JJ, Demicheli V, Jefferson T (2010). "Vaccines for preventing cholera: killed whole cell or other subunit vaccines (injected)". Cochrane Database Syst Rev (8): CD000974. doi:10.1002/14651858.CD000974.pub2. PMID 20687062.
{{cite journal}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - ↑ Sinclair D, Abba K, Zaman K, Qadri F, Graves PM (2011). "Oral vaccines for preventing cholera". Cochrane Database Syst Rev (3): CD008603. doi:10.1002/14651858.CD008603.pub2. PMID 21412922.
{{cite journal}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link) - ↑ Stanberry, Lawrence R. (2009). Vaccines for biodefense and emerging and neglected diseases (tol. la 1). Amsterdam: Academic. uk. 870. ISBN 9780080919027.
- ↑ "WHO Model List of EssentialMedicines" (PDF). World Health Organization. Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martin, S; Lopez, AL; Bellos, A; Deen, J; Ali, M; Alberti, K; Anh, DD; Costa, A; Grais, RF; Legros, D; Luquero, FJ; Ghai, MB; Perea, W; Sack, DA (1 Desemba 2014). "Post-licensure deployment of oral cholera vaccines: a systematic review". Bulletin of the World Health Organization. 92 (12): 881–93. PMID 25552772.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chanjo ya kipindupindu kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |