Chama cha skauti nchini Nigeria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chama cha skauti nchini Nigeria kilianzishwa katika Ukoloni na Ulinzi wa Nigeria mnamo mwaka 1915 na kuwa mwanachama wa Jumuiya ya harakati za Skauti Ulimwenguni mnamo mwaka 1961. Chama cha skauti cha Nigeria kina wanachama wapatao 750,210 kufikia 2015 [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scout Association of Nigeria | World Scouting". www.scout.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-26. Iliwekwa mnamo 2022-02-26.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Life, 4년 전empato36564 in (2018-03-10). "THE BOYS SCOUT (My experience that you'll love to read)". Steemkr (kwa Kikorea). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-03. Iliwekwa mnamo 2022-02-26.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)