Cambridge, Massachusetts

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la Cambridge
Skyline ya Jiji la Cambridge
Jiji la Cambridge is located in USA
Jiji la Cambridge
Jiji la Cambridge
Mahali pa mji wa Cambridge katika Marekani
Coordinates: 42°22′25″N 71°6′38″W / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Marekani
Jimbo Massachusetts
Kitongoji Middlesex
Idadi ya wakazi
 - Mji 101,388
Website: www.cambridgema.gov

Cambridge ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 100,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

[hariri] Viungo vya nje

Ramani