Caen
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Caen | |
| Mahali pa mji wa Caen katika Ufaransa | |
| Anwani ya kijiografia: 49°10′59″N 0°22′10″W / 49.18306°N 0.36944°W | |
| Nchi | Ufaransa |
|---|---|
| Mkoa | Basse-Normandie |
| Wilaya | Calvados |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 110,399 |
| Tovuti: www.ville-caen.fr | |
Caen ndiyo mji mkuu katika mkoa la Basse-Normandie. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 110,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 2-73 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Historia [hariri]
Jiografia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- (Kifaransa) Caen City Council
- (Kifaransa) Caen Borough Council
- (Kiingereza) Encyclopaedia Britannica Caen
- (Kifaransa) Mémorial pour la Paix museum
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Caen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |