Bwamiramira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Uganda

Bwamiramira ni mji wa Uganda unaopatikana mkoa wa Buyanja, Wilaya ya Kibaale, mji mdogo wa Bunyoro, mkoa wa mashariki, Uganda. Takribani kilomita 5 kwa barabara, magharibi mwa mji wa Kibaale, ambako makao makuu yalipo. Takribani umbali wa kilomita 216, kwa barabara magharibi mwa Kampala, makao makuu ya Uganda na jiji kubwa.