Brian Schmidt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brian Schmidt

Brian Paul Schmidt (amezaliwa 24 Februari, 1967) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani aliyehamia Australia mwaka wa 1994. Hasa amechunguza uenezi wa ulimwengu kupitia kwa nyota. Mwaka wa 2011, pamoja na Saul Perlmutter na Adam Riess, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Schmidt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.