Bowe Becker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bowe Becker ni muogeleaji mbobezi wa Marekani[1]. Alishinda medali ya dhahabu ya Olimpiki kwenye msindano ya Olimpiki ya majira ya Joto 2020 kama sehemu ya mtindo huru wa  mita 4x100 za kupokezana, mashindano ya kuogelea ya awali na ya mwisho[2]. Anaogelea kwenye ligi ya Kimataifa ya kuogelea kwenye Tokyo Frog Kings.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "International Swimming League Match 1 in Indianapolis: Day 2 Live Recap". SwimSwam (kwa en-US). 2019-10-06. Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
  2. Jim Krajewski. "NBC Nightly News to feature Reno's Becker after winning gold with US Men's swim relay team". Reno Gazette Journal (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-11-27. 
  3. "ISL Season 3: Free Agency Period Closed July 30th, Season Begins August 24th". SwimSwam (kwa en-US). 2021-08-02. Iliwekwa mnamo 2021-11-27.