Botriana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Botriana ni eneo la kiakiolojia lililopo nchini Tunisia. [1]

Afrika Proconsularis (125 BK)

Wakati wa Dola la Roma, Botriana ilikuwa mojawapo ya sehemu katika mkoa wa Kirumi wa Afrika Proconsolaris. Mji huo uliendelea kwa kasi kutoka miaka 30 kabla ya Kristo hadi 640 baada ya Kristo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. R.B. Hitchner, Botriana]. at Pleiades name resource.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Botriana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.