Bocholt
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyumba ya manisipaa ya Bocholt ilijengwa zama za kati
Bocholt ni manispaa ilipo mjini kaskazini-magharibi mwa jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia, Ujerumani, katika moja kati ya sehemu y wilaya ya Borken. Mji upo 4 km kusini mwa mpaka wa nchi ya Uholanzi. Takriban watu 73,640 wanaishi huko (sensa ya 2006).
[hariri] Viungo vya Nje
- Official site (Kijerumani)
- Map of Bocholt (Kijerumani)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bocholt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |