Biltine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chad 2019 wakichimba zaidi kati ya Arada na Angafal
Chad 2019 wakichimba zaidi kati ya Arada na Angafal

Biltine ni mji uliopo katika mkoa wa Wadi Fira nchini Chad.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 23,472 [1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Biltine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.