Bielefeld
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Bielefeld | |
| Ukumbi wa zamani wa mjini Bielefeld. | |
| Mahali pa Bielefeld katika Ujerumani | |
| Anwani ya kijiografia: 52°01′00″N 08°31′00″E / 52.016667°N 8.516667°E | |
| Nchi | Ujerumani |
|---|---|
| Jimbo | Rhine Kaskazini - Westfalia |
| Idadi ya wakazi (2009) | |
| - Mji | 323,084 |
| Tovuti: http://www.bielefeld.de/en/ | |
Bielefeld ni jiji lililopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani. Jiji lipo katika jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia. Mji wa Bielefeld una wakazi wapatao 330,000 wanaoishi mji hapa. Mji pia una Chuo Kikuu cha Bielefeld.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]
- Official Bielefeld homepage
- Live webcam of the central plaza Jahnplatz of Bielefeld
- Deutsche Welle - Conspiracy Theory: Bielefeld does not exist
- Picha
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bielefeld kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |