Beerenberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Beerenberg

Beerenberg ni mlima wa volikano uliopo katika nchi ya Norwei, kisiwa cha Jan Mayen, wenye kimo cha mita 2,277.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Beerenberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.