Bayern Munich
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
FC Bayern Munich, pia inajulikana kama Bayern München, ni kilabu maarufu ya mpira wa miguu mjini München katika Bavaria nchini Ujerumani. Kilabu ilianzishwa mnamo mwaka 1900 na inawanachama wa kulipwa wapatao 104.000. Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Allianz Arena.
Yaliyomo |
Wachezaji maarufu wa kilabu ya Bayern Munich [hariri]
- Raimond Aumann
- Michael Ballack
- Franz Beckenbauer
- Andreas Brehme
- Paul Breitner
- Ali Daei
- Stefan Effenberg
- Giovane Elber
- Oliver Kahn
- Jürgen Klinsmann
- Miroslav Klose
- Bixente Lizarazu
- Sepp Maier
- Roy Makaay
- Lothar Matthäus
- Alan McInally
- Gerd Müller
- Lukas Podolski
- Franck Ribéry
- Karl-Heinz Rummenigge
- Mehmet Scholl
- Bastian Schweinsteiger
- Hasan Salihamidzic
- Luca Toni
Makocha wa kilabu ya Bayern Munich [hariri]
- Tschik Cajkovski (1965-1968)
- Branko Zebec (1968-1970)
- Udo Lattek (1970-1975)
- Dettmar Cramer (1975-1977)
- Gyula Lorant (1977-1979)
- Pal Csernai (1979-1983)
- Reinhard Saftig (1983)
- Udo Lattek (1983-1987)
- Jupp Heynckes (1987-1991)
- Søren Lerby (1991-1992)
- Erich Ribbeck (1992-1993)
- Franz Beckenbauer (1993-1994)
- Giovanni Trapattoni (1994-1995)
- Otto Rehhagel (1995-1996)
- Franz Beckenbauer (1996)
- Giovanni Trapattoni (1996-1998)
- Ottmar Hitzfeld (1998-2004)
- Felix Magath (2004-2007)
- Ottmar Hitzfeld (since 31 Januari 2007)
Wachezaji wa kilabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008 [hariri]
- Willy Sagnol
- Lúcio
- Daniel van Buyten
- Martín Demichelis
- Phillipp Lahm
- Marcell Jansen
- Valérien Ismaël
- Stefano Celozzi
- Christian Lell
- Mats Hummels
- Christian Saba
- Franck Ribéry
- Hamit Altıntop
- Zé Roberto
- Andreas Ottl
- Mark van Bommel
- José Ernesto Sosa
- Bastian Schweinsteiger
- Stephan Fürstner
- Toni Kroos
Viungo vya nje [hariri]
- Tovuti rasmi ya Bayern Munich kwa Kiingereza pia ipo kwa (Kijerumani, Kijapani, Kihispania, na Kichina pia inapatikana)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bayern Munich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |