Allianz Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Allianz Arena.

Allianz Arena ni uwanja wa mpira wa miguu kutoka Kaskazini mwa mji wa Munich, Ujerumani. Kwakuwa uwanja huo huwa na kawaida ya kuchezea Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Munich arena. Katika uwanja wa Allianz kuna timu mbili za mkoa huwa zinachezea katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni FC Bayern München na TSV 1860 München tangu msimu wa mwaka 2005/2006 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani. Uwanja una viti vipatavyo 69,901. Wakati Kombe la Dunia la mwaka 2006 lililochezewa nchini Ujerumani, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa. Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 340.

[hariri] Picha mbalimbali za uwanja wa Allianz Arena

  • Picha zinazoonyesha baadhi ya maeneo ya uwanja Allianz Arena:


[hariri] Viungo vya nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Allianz Arena" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Allianz Arena kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.