Azusa Iwashimizu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Azusa Iwashimizu (alizaliwa 14 Oktoba 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama beki wa timu ya taifa ya japani pamoja na klabu ya Tokyo Verdy Beleza inayoshiriki ligi ya WE.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Japan Football Association
  2. Azusa Iwashimizu FIFA
  3. "Azusa Iwashimizu Bio, Stats, and Results". Olympics at Sports-Reference.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2016-05-08. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azusa Iwashimizu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.