Azania Bancorp
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Azania Bancorp ni taasisi za fedha zinaweza kufanya biashara na wakulima wadogowadogo na kupata faida kubwa tu. Pamoja na Watanzania kukubali kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanaishi vijijini na wengi wao ni wakulima na wafugaji bado taasisi za fedha hazijafanya uamuzi wa kufanya biashara na Watanzania hao ili kupata faida hiyo.
| Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Azania Bancorp kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |