Ayana Taketatsu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ayana Taketatsu (amezaliwa 23 Juni 1989) ni mwigizaji wa sauti na mwimbaji kutoka Mkoa wa Saitama, Japani [1].

Baada ya kuondoka kituo cha mafunzo, Taketatsu amekuwa akifanya kazi kwa bidii tangu 2005.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Doi, Hitoshi. "Taketatsu Ayana". Seiyuu Database. January 3, 2011. Retrieved January 12, 2011. Archived 6 Aprili 2012 at the Wayback Machine.

Kiungo cha nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayana Taketatsu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.