Aristide Briand
Mandhari
Aristide Briand (28 Machi 1862 – 7 Machi 1932) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Ufaransa. Kati ya 1906 na 1932 alikuwa Waziri Mkuu mara 11. Mwaka wa 1926, pamoja na Gustav Stresemann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aristide Briand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |