Arisa Matsubara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arisa Matsubara (alizaliwa 1 Mei 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya wanawake ya Nojima Stella Kanagawa Sagamihara.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nojima Stella Kanagawa Sagamihara". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-28. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. Japan Football Association
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arisa Matsubara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.