Andrea Ojeda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrea Ojeda

Andrea Ojeda (alizaliwa 17 Januari 1985) ni mwanasoka wa nchini Argentina ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya Boca juniors na timu ya taifa ya wanawake ya Argentina. Andrea aliwahi kuchezea klabu ya wanawake ya Fundación Albacete na Granada CF huko Uhispania.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Ojeda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.