Nenda kwa yaliyomo

Amos Tutuola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amos Tutuola (Abeokuta, Nigeria 20 Juni 1920 - 8 Juni 1997) ni mwandishi kutoka nchi ya Nigeria. Hata hivyo ameandika hasa kwa Kiingereza. Maandiko mashuhuri yake ni The Palm-Wind Drinkard: And His Dead Palm-Wine Tapster in the Dead's Town (1946) na My Life in the Bush of Ghosts (1954).

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amos Tutuola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.