Alifa Rifaat
Fatimah Rifaat | |
Amezaliwa | 5 Juni 1930 Misri |
---|---|
Amekufa | Januari 1996 |
Nchi | Misri |
Majina mengine | Alifa Rifaat |
Kazi yake | Mwandishi |
Fatimah Rifaat (alizaliwa Juni 5 1930 ,alifariki Januari 1996), alijulikana Kama Alifa Rifaat (Kiarabu: أليفة رفعت), alikua mwandishi wa nchini Misri ambaye hadithi zake fupi zenye utata zilijulikana wakati wa maonyesho ya mienendo ya mahusiano ,jinsia ya kike na katika utamaduni wa Misri.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ "Alifa Rifaat's 91st Birthday". Google. 5 June 2021. Check date values in:
|date=
(help)