Al Pacino
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Al Pacino | |
|---|---|
| Amezaliwa | Alfredo James 25 Aprili 1940 |
Alfredo James "Al" Pacino (amezaliwa tar. 25 Aprili, 1940) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Huyu amepata kushinda Tuzo ya Academy akiwa kama Mwigizaji Bora, Tuzo ya Emmy, Tuzo ya Tony mbili. Huenda akawa anafhamika zaidi kwa kucheza kama Tony Montana kutoka katika filamu ya Scarface na Michael Corleone kwenye filamu ya The Godfather.
[hariri] Viungo vya Nje
- Al Pacino official website
- Al Pacino kwenye Internet Movie Database
- Al Pacino katika Internet Broadway Database
- Al Pacino at the Internet Off-Broadway Database
- Al Pacino katika TCM Movie Database
- Al Pacino katika TV.com
- Al Pacino Photo Essay at AMCtv.com
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Al Pacino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |