Akhtala
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Akhtala (Kiarmenia: Ախթալա; pia umepewa jina la Kirumi kama Akht’ala na Kurusishwa (kufanya kuwa Kirusi) kama Nizhnyaya Akhtala) ni kamji kaliopo katika Mkoa wa Lori huko nchini Armenia (idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa 2,000). Ina sehemu za kuvutia za ngome za wamonasteri za karne ya 13.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Akhtala kwenye GEOnet Names Server
- Taarifa ya matokeo ya sensa ya wakazi kwa 2001 nchini Armenia
- World Gazeteer: Armenia – World-Gazetteer.com
| Makala hii kuhusu maeneo ya Armenia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akhtala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |