Air Seychelles
Mandhari
Air Seychelles ni kampuni ya ndege ya nchi ya Seychelles yenye makao yake mjini Mahé]].[1] Tangu 2012 asilimia 40 za hisa zake ziko mkononi mwa Etihad Airlines ya Abu Dhabi.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Ndege hii ilianzishwa mnamo 15 Septemba 1977 kwa jina la Seychelles Airlines. Ilianza kutumia jina la Air Seychelles mnamo Septemba 1978. Ilianza safari za ng'ambo mnamo 1983 hadi mjini Frankfurt na Londn. Inamilikiwa na serikali ya Seychelles na imewaajiri wafanyikazi 663.
Miji inayosafiria
[hariri | hariri chanzo]- Johannesburg - OR Tambo Airport
- Mahé - Seychelles International Airport
- Mauritius - Sir Seewoosagur Ramgoolam Airport
- Praslin - Praslin Island Airport
- Frankfurt - Frankfurt Airport
- London - Gatwick Airport
- London - Heathrow Airport
- Milan - Malpensa Airport
- Moscow - Vnukovo International Airport
- Paris - Charles de Gaulle Airport
- Rome - Leonardo da Vinci Airport
- Zürich - Zürich Airport
Ndege zake
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 2013 kampuni ilikuwa na ndege hizi saba [2]
- 2 Airbus A330-200 (zatawaliwa na Etihad Airways)
- 4 DHC-6 Twin Otter
- 1 Short 360-300
Airbus moja aina ya A319 imeagizwa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Offices Ilihifadhiwa 7 Februari 2003 kwenye Wayback Machine.." Air Seychelles. Retrieved on 10 Novemba 2009.
- ↑ http://www.airseychelles.com/en/about_us/our_fleet.php Ilihifadhiwa 7 Julai 2011 kwenye Wayback Machine. Air Seychelles "our fleet"
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official website Ilihifadhiwa 4 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.