Etihad Airways

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nembo ya Etihad Airways

Etihad Airways (Kiarabu: الإتحاد‎, ʼal-ʻitiħād) ni ndege kuu ya mji wa Abu Dhabi iliyoanzishwa mnamo 2003.

Inasafiri nchini Mashariki ya Kati, Ulaya, India, Amerika Kaskazini, Afrika, Asia na Australia. Makao yake makuu ni katika uwanja wa ndege wa kimataifa ya Abu Dhabi. Mwaka wa 2008, ilibeba wasafiriwa zaidi ya milioni sita.

Yaliyomo

[hariri] Historia

Etihad Airways Airbus A340-500 ikiruka kutoka uwanja wa ndege wa London Heathrow

Etihad Airways ilitangazwa na Sheikh Khalifa in Zayed Al Nahyan kuwa ni ndege ya kitaifa ya nchi ya United Arab Emirates mnamo Februari 2003. Pesa za kuanzia kampuni hii ilikuwa takribam dirhamu milioni 500. Mnamo Novemba 12, 2003 Etihad ilianza kusafiri hadi mji wa Beirut.

[hariri] Miji inayosafiria

[hariri] Afrika

[hariri] Asia

Etihad Airways Airbus A330-200 (A6-EYB) ikishuka kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow
Etihad Airbus A330-200 kwenye uwanja wa ndege wa Frankfurt

[hariri] Uropa

[hariri] Amerika Kaskazini

[hariri] Oceania

[hariri] Ndani ya ndege

[hariri] Diamond Zone

Viti vyake huweza kugeuzwa na kuwa kama kitanda cha urefu wa 6'8". Kuna taa ya kusomea, runinga, kioo, na hata chombo cha kukandia mwili.

[hariri] Pearl Zone

Viti huweza kulazwa kama vitanda vya urefu wa 6'1". Kila kiti kina taa ya kusomea pamoja na chombo cha kukandia.

[hariri] Coral Zone

Viti huweza kulazwa hadi inchi 33 tu. Kuna huduma ya simu pia.

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya nje

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine