Aimee Palmer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aimee Palmer mnamo May 2019

Aimee Rose Palmer (alizaliwa 25 Julai 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambae alicheza kama kiungo wa kati wa Leicester City katika Ligi Kuu ya Wanawake (WSL).[1] Pia ameiwakilisha Uingereza katika timu ya taifa kwa walio na umri chini ya miaka 17, 19 na chini ya miaka 21.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "LCFC Women Confirm Arrival Of Midfielder Aimee Palmer". www.lcfc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Malta U-19 girls endure tough opening against England". mfa.com.mt (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  3. The Football Association. "England Women's U19s 1-2 Spain: La Manga Tournament". www.thefa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aimee Palmer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.