Abraham Alechenwu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abraham Alechenwu (Kialbania: Abraham Aleçenu; alizaliwa 26 Machi,1986) ni mchezaji wa zamani wa kandanda wa nchini Nigeria na wakala wa kandanda.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Ushiriki Wa Awali Abraham alianza uchezaji wake katika kitengo cha 1 cha Nigeria [1]akiwa na Ambassadors of Christ akiwa kijana.

Superliga ya Albania. Kufuatia mwaka wa kwanza wenye mafanikio makubwa katika soka ya Albania na Ulaya, Abraham alihamia Superliga ya Albania.

AC Milan mechi ya kirafiki

Maisha binafsi Abraham anayo pasipoti ya Kialbania ambapo anaweza kuzungumza lughaya Kialbania kwa ufasaha.

Heshima[hariri | hariri chanzo]

Elbasani

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nigerian Observer News". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 July 2011. Iliwekwa mnamo 29 May 2009.  Unknown parameter |df= ignored (help); Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abraham Alechenwu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.