Abinadabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abinadabu alikuwa mtu wa Israeli aliyetunza sanduku la Agano kwa miaka 20 mpaka lilipochukuliwa na mfalme Daudi (1 Sam 7:1,2; 1Nya 13:7; 2 Sam 6:3.

Mwingine alikuwa mtoto wa pili wa Yese wa Bethlehemu na hivyo pia kaka wa mfalme Daudi (1Sam 16:10-11; 1Nya 2:13-16).

Mwingine tena alikuwa mtoto wa mfalme Sauli, aliyefariki vitani pamoja naye (1 Sam 7:1,2; 1 Nya 13:7; 2 Sam 6:3).

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abinadabu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.