Abdulwaheed Afolabi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdulwaheed Afolabi (alizaliwa 8 Desemba 1991) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria anayechezea klabu ya Benin Loto-Popo FC. Abdulwaheed amechezea timu ya Ligi Kuu ya Urusi Kuban Krasnodar na timu ya Ligi Kuu ya Ukraine Tavriya Simferopol. Abdulwaheed Amecheza mechi 14 na kufunga mabao 3 kwa timu ya taifa ya vijana ya Nigeria.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Afolabi alianza majaribio na klabu ya Black Leopards ya Ligi Kuu ya Soka ya Afrika Kusini mnamo Agosti 2011, lakini mazungumzo yalivunjika na akarejea katika klabu ya Niger Tornadoes.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Leopards & Afolabi Fail To Agree". www.soccerladuma.co.za. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 October 2013. Iliwekwa mnamo 18 October 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdulwaheed Afolabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.