Abdenour Belkheir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abdenour Belkheir (alizaliwa 21 Februari 1989) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria ambaye anacheza kama mshambuliaji.[1]

Kazi Yake Kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Belkheir alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na timu ya taifa ya Algeria katika mechi ya kirafiki na saudi arabia ambapo walifungwa 2-0 mnamo tarehe 9 Mei 2018.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdenour Belkheir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.