Mbwa-mwitu Dhahabu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Masahihisho
Nyongeza tanbihi
Mstari 4: Mstari 4:
| picha = Golden wolf small.jpg
| picha = Golden wolf small.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = [[Bweha Dhahabu]]
| maelezo_ya_picha = [[Bweha mashariki]] (''Canis anthus bea'')
| domeni =
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
Mstari 26: Mstari 26:
* ''[[Canis anthus soudanicus|C. a. soudanicus]]'' <small>[[Michael Rogers Oldfield Thomas|Thomas]], 1903</small>
* ''[[Canis anthus soudanicus|C. a. soudanicus]]'' <small>[[Michael Rogers Oldfield Thomas|Thomas]], 1903</small>
}}
}}
'''Bweha dhahabu''' (pia '''bweha-dhahabu''', '''mbweha dhahabu''', '''bweha-mbuga''' na '''mbwa-mwitu dhahabu wa Afrika''') ni [[mnyama]] wa jamii ya [[mbwa]] na mwenyeji wa [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Afrika ya Mashariki|Mashariki]]. Zamani jina lake la kisayansi lilikuwa ''[[Canis aureus]]'', lakini hivi karibuni wataalamu wamebaini kwamba [[nususpishi]] za [[Afrika]] ni tofauti na zile za [[Asia]] na [[Ulaya]]. Kwa hivyo nususpishi za Afrika zimepata jina jipya ''[[Canis anthus]]''.
'''Bweha dhahabu''' (pia '''bweha-dhahabu''', '''mbweha dhahabu''', '''bweha-mbuga''' na '''mbwa-mwitu dhahabu wa Afrika''') ni [[mnyama]] wa jamii ya [[mbwa]] na mwenyeji wa [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Afrika ya Mashariki|Mashariki]]. Zamani jina lake la kisayansi lilikuwa ''[[Canis aureus]]'', lakini hivi karibuni wataalamu wamebaini kwamba [[nususpishi]] za [[Afrika]] ni tofauti na zile za [[Asia]] na [[Ulaya]]. Kwa hivyo nususpishi za Afrika zimepata jina jipya ''[[Canis anthus]]''<ref name="koepfli">{{cite journal|last1=Koepfli|first1=K.-P.|last2= Pollinger|first2=J.|last3= Godinho|first3=R.|last4= Robinson|first4=J.|last5= Lea|first5=A.|last6= Hendricks|first6=S.|last7= Schweizer|first7=R. M.|last8= Thalmann|first8=O.|last9= Silva|first9=P.|last10= Fan|first10=Z.|last11= Yurchenko|first11=A. A.|last12= Dobrynin|first12=P.|last13= Makunin|first13=A.|last14= Cahill|first14=J. A.|last15= Shapiro|first15=B.|last16= Álvares|first16=F.|last17= Brito|first17=J. C.|last18= Geffen|first18=E.|last19= Leonard|first19=J. A.|last20= Helgen|first20=K. M.|last21= Johnson|first21=W. E.|last22= O'Brien|first22=S. J.|last23= Van Valkenburgh|first23=B.|last24= Wayne|first24=R. K.|title=Genome-wide Evidence Reveals that African and Eurasian Golden Jackals Are Distinct Species|journal=Current Biology|volume=25|issue= | pages= 2158–65|url= http://www.cell.com/current-biology/abstract/S0960-9822%2815%2900787-3|date= 2015-08-17|doi= 10.1016/j.cub.2015.06.060|pmid=26234211|pmc=}}</ref>.


Anapatikana pote [[Tanzania]] ambayo ni kusini kabisa ya uenezaji wake hadi sasa. Hata akiitwa [[bweha]] yuko karibu zaidi na [[Mbwa-mwitu Habeshi]] na [[Mbwa-nyika]] ([[w:coyote|coyote]]) wa [[Amerika ya Kaskazini]]. Siku hizi bweha-dhahabu na binamu wake wa [[Asia]] na [[Ulaya]] hufikiriwa kuwa [[mbwa-mwitu]].
Anapatikana pote [[Tanzania]] ambayo ni kusini kabisa ya uenezaji wake hadi sasa. Hata akiitwa [[bweha]] yuko karibu zaidi na [[Mbwa-mwitu Habeshi]] na [[Mbwa-nyika]] ([[w:coyote|coyote]]) wa [[Amerika ya Kaskazini]]. Siku hizi bweha-dhahabu na binamu wake wa [[Asia]] na [[Ulaya]] hufikiriwa kuwa [[mbwa-mwitu]].
Mstari 39: Mstari 39:
* ''Canis a. riparius'', [[Bweha Somali|Bweha]] au Mbwa-mwitu Somali ([[w:Somali wolf|Somali wolf]])
* ''Canis a. riparius'', [[Bweha Somali|Bweha]] au Mbwa-mwitu Somali ([[w:Somali wolf|Somali wolf]])
* ''Canis a. soudanicus'', [[Bweha wa Sudani]] au Mbwa-mwitu Mabaka ([[w:Variegated wolf|Variegated wolf]])
* ''Canis a. soudanicus'', [[Bweha wa Sudani]] au Mbwa-mwitu Mabaka ([[w:Variegated wolf|Variegated wolf]])

==Tanbihi==
{{reflist}}


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 10:14, 2 Aprili 2017

Bweha dhahabu
Bweha mashariki (Canis anthus bea)
Bweha mashariki (Canis anthus bea)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Canidae (Wanyama walio na mnasaba na mbwa)
Nusufamilia: Caninae
Jenasi: Canis
Linnaeus, 1758
Spishi: C. anthus
F. Cuvier, 1820
Ngazi za chini

Nususpishi 6:

Bweha dhahabu (pia bweha-dhahabu, mbweha dhahabu, bweha-mbuga na mbwa-mwitu dhahabu wa Afrika) ni mnyama wa jamii ya mbwa na mwenyeji wa Afrika ya Kaskazini na Mashariki. Zamani jina lake la kisayansi lilikuwa Canis aureus, lakini hivi karibuni wataalamu wamebaini kwamba nususpishi za Afrika ni tofauti na zile za Asia na Ulaya. Kwa hivyo nususpishi za Afrika zimepata jina jipya Canis anthus[1].

Anapatikana pote Tanzania ambayo ni kusini kabisa ya uenezaji wake hadi sasa. Hata akiitwa bweha yuko karibu zaidi na Mbwa-mwitu Habeshi na Mbwa-nyika (coyote) wa Amerika ya Kaskazini. Siku hizi bweha-dhahabu na binamu wake wa Asia na Ulaya hufikiriwa kuwa mbwa-mwitu.

Anakula wanyama wadogo, mizoga, wadudu na matunda. Makazi yake kwenye mbuga na misitu myepesi. Anaishi kwa vikundi vidogo hasa dume na jike pamoja na watoto.

Kwa jumla kuna nususpishi 6 zinazo tambuliwa:

Tanbihi

  1. Koepfli, K.-P.; Pollinger, J.; Godinho, R.; Robinson, J.; Lea, A.; Hendricks, S.; Schweizer, R. M.; Thalmann, O.; Silva, P.; Fan, Z.; Yurchenko, A. A.; Dobrynin, P.; Makunin, A.; Cahill, J. A.; Shapiro, B.; Álvares, F.; Brito, J. C.; Geffen, E.; Leonard, J. A.; Helgen, K. M.; Johnson, W. E.; O'Brien, S. J.; Van Valkenburgh, B.; Wayne, R. K. (2015-08-17). "Genome-wide Evidence Reveals that African and Eurasian Golden Jackals Are Distinct Species". Current Biology 25: 2158–65. PMID 26234211. doi:10.1016/j.cub.2015.06.060. 

Marejeo

  • Sillero-Zubiri, C. (2009). Family Canidae (Dogs). (352-447). In: Wilson, D. E., Mittermeier, R. A., (Hrsg.). Handbook of the Mammals of the World. Volume 1: Carnivores. Lynx Edicions, 2009. ISBN 978-84-96553-49-1