Songo Mnara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
Upande wa mashariki wa kisiwa kuna maghofu ya mji wa kale wa Songo Mnara. Maghofu haya yamepokelewa pamoja na yale ya Kilwa Kisiwani katika orodha ya [[urithi wa dunia]] wa [[UNESCO]].
Upande wa mashariki wa kisiwa kuna maghofu ya mji wa kale wa Songo Mnara. Maghofu haya yamepokelewa pamoja na yale ya Kilwa Kisiwani katika orodha ya [[urithi wa dunia]] wa [[UNESCO]].


Katika karne za 13 - 16 ilikuwa mji muhimu wa biashara ya Bahari Hindi kutokana na mabaki ya bidhaa yaliyopatikana hapa. Mabaki ya [[dhahabu]], [[fedha]], [[lulu]], [[marashi]], vyombo vya Uajemi na [[kauri]] za China yalipatikana na kuonyesha upana wa biashara ya wenyeji.
Katika karne za 13 - 16 ilikuwa mji muhimu wa biashara ya Bahari Hindi kutokana na mabaki ya bidhaa yaliyopatikana hapa<ref>{{cite journal|last1=Stoetzel|first1=Jack|title=Field Report: Archaeological Survey of Songo Mnara Island|journal=Nyame Akuma|date=2011|volume=76|pages=9–14}}</ref>. Mabaki ya [[dhahabu]], [[fedha]], [[lulu]], [[marashi]], vyombo vya Uajemi na [[kauri]] za China yalipatikana na kuonyesha upana wa biashara ya wenyeji<ref name="Songo Mnara Trade">{{cite journal|last1=Zhao|first1=Bing|title=Global Trade and Swahili Cosmopolitan Material Culture: Chinese-Style Ceramic Shards from Sane ya Kati and Songo Mnara (Kilwa, ,Tanzania)|journal=Journal of World History|date=March 2012|volume=23|pages=41–85|accessdate=9 December 2014|doi=10.1353/jwh.2012.0018}}</ref>.


Wataalamu wa akiolojia walitambua misikiti 6, makaburi 4, uwanja 3 na nyumba zaidi ya 20. Ujenzi ulikuwa wa [[matumbawe]] na simiti.
Wataalamu wa akiolojia walitambua misikiti 6, makaburi 4, uwanja 3 na nyumba zaidi ya 20. Ujenzi ulikuwa wa [[matumbawe]] na simiti.<ref name="Finding Meaning in Ancient Swahili Spatial Practices">{{cite journal|last1=Fleisher|first1=Jeffrey|last2=Wynne-Jones|first2=Stephanie|title=Finding Meaning in Ancient Swahili Spatial Practices|journal=African Archaeological Review|date=2012|volume=29|pages=171–207|accessdate=20 October 2014|doi=10.1007/s10437-012-9121-0}}</ref>


Haijulikana ni nini iliyosababisha kuanguka wa mji huu lakini mwisho wa mabaki unalingana takriban an kufika kwa Wareno katila [[Afrika ya Mashariki]] hivyo kuna watalaamu wanaohisi mvurugo uliosababishwa na kufika kwa Wareno ulileta pia anguko la Songo Mnara.
Haijulikana ni nini iliyosababisha kuanguka wa mji huu lakini mwisho wa mabaki unalingana takriban an kufika kwa Wareno katila [[Afrika ya Mashariki]] hivyo kuna watalaamu wanaohisi mvurugo uliosababishwa na kufika kwa Wareno ulileta pia anguko la Songo Mnara.

Pitio la 19:44, 4 Juni 2016

Songo Mnara ni kisiwa katika funguvisiwa ya Kilwa, upande wa kusini mwa Kilwa Kisiwani. Kiutawala ni sehemu ya kata ya Songosongo kwenye Wilaya ya Kilwa, Tanzania.

Upande wa mashariki wa kisiwa kuna maghofu ya mji wa kale wa Songo Mnara. Maghofu haya yamepokelewa pamoja na yale ya Kilwa Kisiwani katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.

Katika karne za 13 - 16 ilikuwa mji muhimu wa biashara ya Bahari Hindi kutokana na mabaki ya bidhaa yaliyopatikana hapa[1]. Mabaki ya dhahabu, fedha, lulu, marashi, vyombo vya Uajemi na kauri za China yalipatikana na kuonyesha upana wa biashara ya wenyeji[2].

Wataalamu wa akiolojia walitambua misikiti 6, makaburi 4, uwanja 3 na nyumba zaidi ya 20. Ujenzi ulikuwa wa matumbawe na simiti.[3]

Haijulikana ni nini iliyosababisha kuanguka wa mji huu lakini mwisho wa mabaki unalingana takriban an kufika kwa Wareno katila Afrika ya Mashariki hivyo kuna watalaamu wanaohisi mvurugo uliosababishwa na kufika kwa Wareno ulileta pia anguko la Songo Mnara.

Viungo vya Nje

  1. Stoetzel, Jack (2011). "Field Report: Archaeological Survey of Songo Mnara Island". Nyame Akuma 76: 9–14. 
  2. Zhao, Bing (March 2012). "Global Trade and Swahili Cosmopolitan Material Culture: Chinese-Style Ceramic Shards from Sane ya Kati and Songo Mnara (Kilwa, ,Tanzania)". Journal of World History 23: 41–85. doi:10.1353/jwh.2012.0018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help);
  3. Fleisher, Jeffrey; Wynne-Jones, Stephanie (2012). "Finding Meaning in Ancient Swahili Spatial Practices". African Archaeological Review 29: 171–207. doi:10.1007/s10437-012-9121-0.  Check date values in: |accessdate= (help);